HEKAHEKA: Mwanaume aliyehudumia mtoto mpaka miaka 9 ambiwa mtoto siwake

Hekaheka ya leo January 9, 2018 inamhusu mwanaume anayedai kuwa mtoto ni wake na alikuwa akimhudimia mtoto mpaka akatimiza miaka 9 kwa kutuma hela na hata mara ya mwisho mama alidai mtoto hana nguo baba huyo akamchukua mtoto na kumnunulia nguo na kukaaa naye na kumtafutia shule. Baada ya mwanaume huyo kukaa na mtoto kwa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News