HEKAHEKA: Mwanamke adaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa jirani yake…kisa?

Hekaheka ya leo June 19, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea Sinza DSM ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa kiume wa jirani yake mwenye umri wa miaka minne akidai amembaka binti yake wa miaka miaka mitatu. Inadaiwa kuwa watoto hao walikuwa wanacheza nyumbani kwa mama huyo ambapo alidai kuwakuta […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News