Hekaheka iliyotokea mbele ya Makamu wa Rais leo June 16, 2017

Hekaheka leo June 16, 2017 imetokea Viwanja vya Shule ya Msingi Kinyerezi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilaya ya Ilala ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan. Wakati shughuli hizo zikiendelea ghafla alitokea mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitatu ambaye alianza kulia na kugaragara chini kitendo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News