Haya ndiyo Makazi mapya Ya Mama Samia Suluhu Mjini Dodoma

Muonekano wa nje wa Jengo analotarajia kwenda kuishi Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu mjini Dodoma Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akioneshwa mazingira ndani ya jengo hilo.   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma ambako yalikuwa makazi ya Mkuu wa Mkoa huo. Akitoa taarifa ya ujenzi huo, Waziri wa Nchi anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Wenye Ulemavu na Vijana, Bibi Jenista Mhagama...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News