Hawa ndio washindi wa Tuzo za Vijana 50 wa Kitanzania wenye Ushawishi

Tuzo za Vijana 50 wa Kitanzania wenye Ushawishi (50 Tanzania Most Infuential Young Tanzanians) zilizoandaliwa na Avance Media zimetangaza washindi wake leo January 16, 2018 ambapo Mtu wako wa Nguvu, Mr Countdown Millard Ayo amekuwa mshindi kwenye kitengo cha Vyombo vya Habari. Washindi wengine ni pamoja na Mwanasoka Mbwana Samatta kwenye category ya Michezo, mwingine […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News