Hawa ndio wapinzani wa Yanga walivyo wajue kiundani..

HAWA NDIO WOLAYTA DICHA SC WAPINZANI WA YANGA SHIRIKISHO Na Samuel Samuel Droo ya michuano ya kombe la Shirikisho Afrika hatua ya mtoano imefanyika usiku huu wa tarehe 21 Machi 2018 na mabingwa wa kihistoria nchini Yanga SC kuangukia mikononi mwa wahabeshi Wolayta Dicha SC toka nchini Ethiopia. Wolayta ni moja ya timu changa katika historia ya soka la Afrika lakini yenye mrengo mzuri wa mafanikio kutokana na mipango yao toka kuanzishwa kwao mwaka 2009 hii ni tofauti na wapinzani wao Yanga SC walioanzishwa Februari 11, 1935. Mwaka 2009 wakazi...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News