Harding athibitisha ushiriki KCB Karen Master 2018

Nyota wa mchezo wa Gofu nchini Afrika Kusini, Justin Harding, ni miongoni mwa wachezaji 156, kutoka mataifa 21 pamoja na chipukizi wanne wamethibitisha kushiriki michuano ya mwaka huu ya KCB Karen Masters, yatakayotimua vumbi kuanzia, Julai 19 hadi 22, katika viwanja vya Karen County Club....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News