Harakati za kijeshi zaleta wasiwasi Harare

Hali ya wasiwasi imeingia katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, ikiwa ni pamoja na kuonekana kwa vifaru vinne vikielekea katika mji mkuu huo  kulingana na mashahidi, siku moja baada ya mkuu wa majeshi Jenerali Constantino Chiwenga kumuonya Rais Robert Mugabe kutoendelea na mpango wa kuwaondowa mashujaa wa vita kutoka chama tawala.  Jenerali Chiwenga amesema "ni lazima ni wakumbushe wanaozusha mvutano wa hivi sasa wa kisiasa kwamba, inapohusiana na kulinda mapinduzi yetu,......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News