Hamisa Mobetto kafunguka Mahakama kumsuluhisha na Diamond ‘Ugomvi wa familia uacheni tu’

Leo February 8, 2018 Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi na mzazi mwenzake, Diamond Platnumz kuhusu malezi ya mtoto wao. Hamisa Mobetto amezungumza na AYO TV kuhusu hilo. ALICHOZUNGUMZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KESI YAKE NA HAMISA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News