HAMISA MOBETTO AMTAJA BABA HALISI WA MTOTO

SIRI ya baba halisi wa mtoto wa pili wa mwanamitindo, Hamisa Mobetto imefichuka baada ya mrembo huyo kubadilisha jina la awali la ukurasa (Instagram) wa mtoto wake huyo wa kiume na kuweka lingine linaloshabiiana na la staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’. Diamond Platnumz  ambaye ni baba wa watoto wawili, Tiffah na Nillan aliyezaa na raia za Uganda mrembo, Zari amekuwa kwenye skendo ya kuchepuka na Hamisa Mobetto kuanzia mwaka jana wakati wa uandaaji wa video ya wimbo wa Salome licha ya msanii huyo kukataa. Viashiria vya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 19 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News