HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA VIJIJI YAOMBWA KUTOA TENDA KWA VIJANA WENYE VIKUNDI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Selemani Makwiro (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la UVCCM la Wilaya ya Kibaha Vijijini leo. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu UVCCM Mkoa wa Pwani,Ramadhan Kapeto na Mwenyekiti UVCCM Wilaya Kibaha Vijijini,Jumanne Mbonde na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Kibaha Vijijini,Murtala Mkumba. Picha zote na Elisa Shunda Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Selemani Makwiro (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la UVCCM la...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News