HALI SI SHWARI SHWARI MGODI WA NORTH MARA

Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli  kukabidhiwa ripoti ya pili ya kuchunguza mchanga wa dhahabu wa Kampuni ya Madini ya Acacia, wananchi wa Tarime wamevamia mgodi wa North Mara kwa siku mbili mfululizo. Hatua hiyo inaelezwa kuwa ni mwendelezo wa kupinga uonevu unaofanywa na wawekezaji hao kupitia Kampuni ya Acacia. Taarifa kutoka wilayani Tarime ziliambia MTANZANIA kuwa wananchi hao walivamia mgodi huo juzi saa 2.00 usiku na jana asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa hizo, wananchi hao walikwenda hadi kwenye mtambo wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 19 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News