HAJI MANARA: Nipo tayari Kujiuzuru Wadhifa wangu katika Klabu ya Simba.

Haji ManaraAfisa habari wa habari wa vinara wa ligi kuu Tanzania Bara Simba SC, Haji Manara amesema yupo tayari kujiuzulu wadhifa wake katika klabu hiyo endapo atajitokeza mtu yeyote na kudai alituma maombi ya kuitaka Simba tofauti na Mohamed Dewji.Manara ametoa kauli hiyo leo Aprili 18, 2018 kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa mubashara kupitia ukurasa wa kijamii wa EATV baada ya kuwepo tetesi kuwa katika mchakato wa kumpata mmiliki wa timu kupitia upate wa hisa palikuwepo na uchakachuaji wa hali ya juu jambo ambalo walishindwa kuwapa fursa watu wengine."Nipo tayari...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 18 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News