Haji Manara Aingilia Kati Sakata la Diamond na Naibu Waziri

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara amefunguka na kumkingia kifua msanii Diamond na wenzake ambao wamekuwa wakitetea haki zo kwa Naibu waziri ambae ameibuka na sera ya kuwafungia wasanii kwa madai kuwa wanaimba nyimbo zisozokuwa na maadili katika jamii.Hivi karibun Diamond aliongea katika media moja na kusema kuwa hata kama atatakiwa kulala jela kwa sababu ya muziki basi atafanya ilimradi kutetea haki ya muziki kwa sababu watu wanaofungia muziki huo hawajui historia ya muziki wala msanii wanaemfungia.Haji Manara amesema  kuwa pamoja na kwamba wasanii...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News