HABARI PICHA: Diamond Atelekeza watoto? Angalia mwenyewe

Kwa tafsiri isiyo rasmi Zari, a.k.a Mama Tifa Gangote anasema " Mameneja wengine inabidi wawe wanafanya kazi ya kuhakiki ubora na maana ya kila jambo linalosemwa na kufanywa na wasanii wao wanapokuwa wanatafuta umaarufu katika jamii kutokana na kauli zao... lini ilikuwa mara ya mwisho kuwaona watoto wako? nadhani watakuwa wameshakusahau. Fikiri kabla ya kuandika chochote . mjinga. na akamalizia na msonyo wa maana!.Mwenye akili hasubirii kuambiwa huu ujumbe umemlenga nani, bila shaka ni ndugu yetu " A boy from Tandale"Mbona ghafla?Hawa watu walikuwa pamoja siyo muda mrefu uliopita, tena...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News