GUARDIOLA: NYIE HANGAIKENI TU, NITAWANYOOSHA

MANCHESTER, England WAKATI timu pinzani zilizoshindwa kuizuia vema Manchester City isichukue ubingwa msimu uliopita zikiwa zimejiandaa vilivyo kuwapa upinzani, kocha wa timu hiyo, Pep Guardiola, ametoa onyo kali akisema msimu huu amejiimarisha zaidi. Man City walivunja rekodi za Ligi Kuu England msimu uliopita ambao waliumaliza na pointi 100, wakiwaacha wapinzani wao wa jadi, Manchester United kwa tofauti ya pointi 19. Kuelekea ufunguzi wa ligi hiyo usiku wa leo na kuendelea wikiendi hii, vijana hao wa Guardiola wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwa mara nyingine. Na Guardiola anaamini kuwa kikosi...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News