GUARDIOLA BADO ASAKA KIUNGO

LONDON, England   KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema kwamba bado anasaka kiungo wa kusajili kabla dirisha la usajili halijafungwa. Mpaka sasa kocha huyo ameshashindwa kuwanasa Fred na Jorginho na sasa anasaka mwingine ambaye atashindania namba na Fernandinho. The post GUARDIOLA BADO ASAKA KIUNGO appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News