GUARDIOLA AMKOMALIA SANCHEZ

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amegoma kufuta uvumi wa kuihitaji saini ya straika wa Arsenal, Alexis Sanchez. Guardiola anatajwa kutenga fungu la pauni mil 50 kwa ajili ya Sanchez, ili kuziba pengo la Gabriel Jesus aliyepata majeraha ya goti kwenye pambano dhidi ya Crystal Palace. The post GUARDIOLA AMKOMALIA SANCHEZ appeared first on Gazeti la Dimba....

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News