GOOD NEWS: Reli ya kati imefunguliwa, TRL imepoteza Bilioni 5

Leo February 12, 2018 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa ameifungua Reli ya kati ambayo haikufanya kazi takribani mwezi mmoja baada ya kuaribiwa na mafuriko ya mvua hasa maeneo ya Kilosa Morogoro. Mbali ya kuifungua reli hiyo, pia Prof Mbalawa amesema serikali imepoteza takribani Bilioni 5 katika kipindi cha mwezi mmoja kuanzia […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News