Good News kutoka kwa Waziri Mwigulu kwa walionyang’anywa Pikipiki na Polisi

Leo February 9, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dr. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuziachia pikipiki ambazo wamezishikilia kwa muda mrefu na zina makosa madogo na kwamba wasikae nazo kwa muda mrefu mpaka zikawa vyuma chakavu. Dr. Mwigulu amesema zile yenye makosa makubwa kama uhalifu wa kivita, dawa ya kulevya wabaki […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News