GOOD NEWS: JPM ametangaza kutoa Tsh Bilioni 200 kulipa madeni ya ndani ya wanaoidai serikali

Leo January 3, 2018 Rais Magufuli amesema kuanzia mwezi February mwaka huu madeni ya ndani ya nchi ya wanaoidai serikali yataanza kulipwa, na kwamba atatoa Tsh Bilioni 200 kufanikisha zoezi hilo na kuongeza kuwa hii itasaidia kuongeza uchumi. Ameyasema hayo wakati amekutana na kuagana na Gavana wa Benki Kuu (BoT) anayemaliza muda wake Profesa Benno […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News