Golikipa aliyedaka Simba Day August 8 2017 amefariki dunia

Ulimwengu wa soka leo umepata pigo jingine baada ya kumpoteza mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast aliyokuwa anaichezea Beijing Enterprises Cheick Tiote, leo zimeripotiwa habari za kufariki kwa golikipa wa club ya Rayon Sports ya Rwanda Evariste Mutuyumana. Golikipa wa Rayon Sports Evariste Mutuyumana amefariki dunia baada ya kupata tatizo la kushindwa kupumua vizuri, kama utakumbuka […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News