Goli la Okwi lililoidhoofisha Azam FC vs Simba katika mbilio za Ubingwa VPL

Kabla ya game ya leo Simba alikuwa kaizidi Azam FC kwa point 5, Azam wakiwa na point 33 na Simba 38, hivyo ushindi wa Simba wa goli 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 37 kipindi cha kwanza unaifanya Simba kujikita kileleni kwa tofauti ya point nane dhidi ya Azam na tofauti ya point 7 […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News