GOFU LUGALO YATEKELEZA AGIZO LA MKUU WA MAJESHI YASHINDA NIGERIA

Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia mara baada ya kucheza mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia akiwa na wechaji wenzie mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akinyenyua kikombe mara baada ya kushinda katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News