Goal Technology kuanza kutumika kwa mara ya kwanza Afrika katika michuano hii

Kwa mara ya kwanza katika soka la Afrika Teknolojia ya msaada wa video kwa waamuzi wa soka, maarufu kama VAR (Goal Technology), utaanza kutumika kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika CHAN kwa wachezaji wanaocheza  ligi  za  ndani yatakayofanyika Morocco. Mfumo huo unaruhusu  maafisa walioko nje ya uwanja  kusaidia  waamuzi walioko ndani ya uwanja […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News