George Weah amemfuta kazi Waziri wake wa Sheria

Leo February 9, 2108 Rais mpya wa Liberia George Opong Weah amemfuta kazi Waziri wa sheria Charles Gibson, baada ya malalamiko ambayo yamesababisha kupokonywa leseni ya Uwakili baada ya kumtapeli mteja wake. Kabla ya uteuzi wake, Gibson alikuwa amepatikana na hatia hiyo na Mahakama ya Juu baada ya kumtapeli mteja wake Dola za Marekani 25,000 […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News