Gavana wa zamani akabiliwa na tuhuma za ubadhirifu

Wimbi jipya la kupambana na ufisadi nchini Kenya limeshika kasi baada ya gavana wa zamani wa jimbo la jiji la Nairobi, Kenya, Dkt Evans Kidero, kukamatwa na kupandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News