GADIEL APIGA MPIRA MWINGI YANGA

NA MAREGES NYAMAKA BEKI wa pembeni wa Yanga, Gadiel Michael, ameonyesha uwezo mkubwa kwenye mechi yake ya kwanza akiwa na kikosi hicho, ambacho kilicheza dhidi ya Ruvu Shooting, ukiwa ni mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu. Beki huyo wa kushoto, ambaye amesajiliwa na Yanga akitokea Azam FC, alionyesha kiwango cha juu kwenye mechi hiyo ambayo mabingwa hao wa tetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara walipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Moja ya kazi kubwa alizozionyesha kwenye mechi dhidi ya Ruvu Shooting ni  kuanzisha mashambulizi ambayo mengi yalikuwa yakiishia kwa washambuliaji wa...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News