Full Time Simba vs Azam (1-0)

Dakika ya 3: Simba wanapata kona ya pili Dakika ya 4: azam wanakosa goli mpira wa kichwa unatoka juu ya lango la Simba Dakika ya 6: Ofside upande wa simba mchezaji wa Azam emezidi Dakika ya 8: mabao bado 0-0, Mpira ni mkali sana mpenzi mfuatiliaji Dakika ya 11: Simba wanacheza faulo na mpira unapigwa na Azam Dakika ya 13 : kona, azam wanapata kona ya kwanza. Dakika ya 16: Simba wanapata kona na inachongwa na Kichuya Dakika ya 20: Mabao bado 0-0, timu zinashambuliana zam kwa zam Dakika ya...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News