"From Hero to Zero" Hiki ndicho kiingilio Kuiona Yanga dhidi ya Rayon Leo Juma tano

Yanga ina kibarua cha mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika leo Jumatano saa 1 jioni dhidi ya Rayon Sports.Viingilio vya mechi ya Yanga dhidi ya Rayon Sports vimetangazwa na klabu hiyo itakuwa Sh3,000 kwa jukwaa la mzunguko huku VIP A kiwa ni 15,000 wakati VIP B na C itakuwa Sh 7, 000.Hata hivyo wakati Yanga ikiwa na kibarua cha mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika leo Jumatano saa 1 jioni dhidi ya Rayon Sports, wachezaji kadhaa ikiwemo nyota wataukosa mchezo huo.Yanga inashuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News