Flaviana kakasirishwa na wanaomsema kisa mwembamba

Mwanamitindo Mtanzania anayeishi na kufanya kazi Marekani Flaviana jana September 12, 2017 alitoa ya moyoni kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusu watu wanaomsumbua kwa kuzungumzia mwili wake ulivyo mwembamba na kumwambia awe anakula ili aongezeke. Ulipitwa na hii? VANESSA KAULIZWA: Ni kweli Mpenzi wake mpya anatoka WCB?...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News