Fedha zinazotumika kujenga barabara ya njia sita ni za Serikali

Kulikuwa na taarifa kuwa Benki ya Dunia (WB) huenda ikasitisha mkopo wake kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ungesaidia ujenzi wa Barabara ya njia sita kutoka Kimara hadi Pwani. Leo February 7, 2018 Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas amesema kuwa taarifa hizo serikali haijazipata na kueleza kuwa fedha zinazotumika kwenye […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 7 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News