FATMA KARUME AJITOSA KUMRITHI LISSU, WANASHERIA WAMTABIRIA USHINDI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amejitosa kumrithi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), utakaofanyika Aprili 14, mwaka huu. Lissu, ambaye aliteuliwa kugombea nafasi hiyo lakini ameshindwa kukidhi matakwa ya kamati kutokana na fomu ya uteuzi iliyowasilishwa kwa sekretarieti hiyo. Kwa mujibu wa sheria mpya, Lissu hataweza kugombea tena nafasi hiyo kwani kifungu cha nane cha sheria hiyo, kinamzuia mtu ambaye ni kiongozi wa chama chochote  cha siasa, kuongoza chama hicho. Katika kinyang’anyiro hicho,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 21 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News