EXCLUSIVE: Ni kweli Godbless Lema na Meya Boniface wamepigana?

Mchana wa December 7 2017 zilienea taarifa katika mitandao ya kijamii zikidaiwa kuwa Meya wa Ubungo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Boniface Jacob na Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya CHADEMA Godbless Lema wamegombana na kupigana ngumi chanzo kikiwa hakijatajwa. AyoTV ilifanikiwa kuwatafuta Boniface Jacob na Godbless Lema na kufanya nao Exclusive interview na […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News