EXCLUSIVE: Leo Producer Mikka Mwamba kakubali kuhojiwa (+video)

Kama muziki unaoupenda ni Bongofleva na umekua ukiufatilia toka kitambo, jina la Mikka Mwamba halitakua geni kwako sababu ni Producer Hodari ambae mikono yake ilihusika kuzisuka Hits kama ‘Barua’ ya Daz Nundaz, ‘Salome’ ya Dully Sykes, Album ya kwanza ya Saida Karoli, Elimu Mitaani ya D Knob na nyingine nyingi. Ni wengi hawakua wanafahamu kwamba […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News