EXCLUSIVE: Compozers wazungumza kuhusu Alikiba na Diamond

Mtu wangu wa nguvu ukiwa unaendele kusubiria kuupokea mwaka 2018 kwenye AyoTv nimekusogezea EXCLUSIVE INTERVIEW na  Compozers hili ni kundi la muziki ambalo linatokea London ila Wasanii wa kundi hilo wanaasili ya Ghana. Wamezungumza mambo mengi ikiwemo kuhusu muziki wao na kuelezea kuhusu muziki wa Bongofleva na kuwataja Alikiba na Diamond Platnumz. kupata taarifa kamili […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News