Ethiopia kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa

Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ametangaza Jumatano kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa na kufungwa kwa vituo vinavyojulikana kwa mateso katika kile alichokiita kuwa ni juhudi ya nchi hiyo “kupanua wigo wa demokrasia kwa watu wote.”...

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News