ELIMU YA MAANDALIZI ISIPUUZWE

Na Salum Vuai, MAELEZOWALIMU wakuu wa skuli za Zanzibar wametakiwa kutambua hadhi ya elimu ya maandalizi badala ya kuipa kisogo na kuwatenga walimu wanaosomesha madarasa hayo.Ofisa Mdhamini wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Elimu Pemba Salum Kitwana Sururu, amesema elimu hiyo ndio msingi mzuri wa kumjenga mtoto.Akizungumza na washiriki wa kikao cha tathmini ya mradi wa ‘Watoto Kwanza’ uliolenga kuwaandaa walimu wa skuli za maandalizi unaohitimisha miaka minne kilichofanyika hoteli ya Mazson, Sururu alisema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 2006 ilitangaza sera ya ulazima wa elimu ya maandalizi kwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News