EfG Yatoa Mafunzo Kwa Wajasiriamali Wanawake Viwanja Vya Maonesho ya Biashara Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakijadiliana jambo baada ya kutoa mafunzo kwa wajasiriamali wanawake kwenye Banda la Jakaya Mrisho Kikwete Viwanja vya Kimataifa vya Maonyesho ya Biashara Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Ofisa Tathimini na Ufuatiliaji, Shaaban Rulimbiye, Mwanasheria, Susan Sitta na Mwanasheria Mussa Mlawa. Wageni waliotembelea banda la EfG wakisaini kitabu cha wageni. Wageni waliotembelea banda la EfG wakisaini kitabu cha wageni. Kulia ni Mwanasheria Mussa Mlawa akiwa na furaha. Maofisa wa Shirika la Equality for Growth (EfG), wakiwa ndani ya banda...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News