DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango  (Mb)   akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kwa makini mawasilisho ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) baada ya kuwasilishwa kwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News