Dodoma yakabiliwa na upungufu wa nyuma

Elias Kuandikwa, naibu waziri NA EDITHA MAJURA Dodoma Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kuandikwa, amesema wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na Serikali kuwapatia  makazi bora watumishi wanaohamia mjini humo. Kuandikwa amesema licha ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kumiliki nyumba 960 za kibiashara mkoani humo, hawajakidhi mahitaji ya nyumba yaliyopo kwa sasa. Kaimu Meneja wa TBA wa Mkoa wa Dodoma, Steven Simba, amesema pamoja na changamoto nyingine, majengo wanayopangisha yamechakaa, hali inayosababisha kupata kipato kidogo. Amesema hata majengo yaliyokuwa...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News