DKT MNDOLWA,MAJI MAREFU WAUNGURUMA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA KWAGUDA KOROGWE WAWATAKA WANANCHI KUIPA KURA ZA KISHINDO CCM

Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukitoka Korogwe mjini kuelekea Kata ya Kwagunda Jimbo la Korogwe Vijijini kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za udiwani wa Kata hiyo ambapo Dkt Mndolwa alikuwa mgeni ramsi  gari yaa mbele inayongoza msafara huo ni ya Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukiwasili eneo la Kijiji cha Mkokola Kata ya Kwagunda ambapo kulifanyika uzinduzi wa kampeni za udiwani wa kata hiyo baada ya aliyekuwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News