Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Chuo Kikuu Cha VIT Kutoka Nchini India.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  mgeni wake  Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India  Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar   leo akiwa na ujumbe aliofuatana naoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India  Dk.G Viswanathan wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar   leo akiwa na ujumbe aliofuatana naoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza Mkuu wa Chuo Kikuu cha VIT Nchini India  Dk.G...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News