DK. NDUGULILE AONYA UCHAKACHUAJI NAMBA KITENGO CHA FIGO MUHIMBILI

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam Watumishi wa Kitengo cha Figo cha Hospitali ya Taifa Muhimbili, dawati linalohusika kutoa namba kwa wagonjwa wametakiwa kutoa namba kwa wagonjwa  bila upendeleo. Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ametoa agizo hilo leo Jumanne Machi 13, alipofanya ziara ya kushtukiza katika Kitengo hicho. Nilikuja kukagua iwapo wametekeleza maagizo ambayo tuliwapatia awali, kumekuwa na maboresho ingawa kuna ongezeko kubwa la wagonjwa kutoka hadi nje ya Mkoa wa Dar es Salaam. “Hospitali ina mashine 42...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News