DK. MPANGO: WANAUCHUMI MAMBUMBU NDIO WAMETUFIKISHA HAPA TULIPO

Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji TIC na Mwenyekiti wa Kamati Uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wachumi Tanzania Economics Society Of Tanzania (EST) Bw. Godfrey Mwambe akipokea katiba ya Chama hicho kutoka kwa Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT)kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa jumuiya hiyo kwenye ukumbi wa BOT leo jijini Dar es salaam, ambapo Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango katikati anayeshuhudia ndiye aliyezinduam, Kulia ni Gavana wa Benki Kuu (BOT)Profesa Florens Luoga.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Saturday, 24 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News