DIER KUIKAMUA UNITED PAUNI MIL. 50

KLABU ya Tottenham Hotspurs imeipasha Manchester United kuwa, gharama ya kumchukua kiungo wao, Eric Dier, ni pauni milioni 50. United imekuwa ikihusishwa na kiungo huyo wa England kwa vipindi kadhaa sasa katika harakati za kukiongezea nguvu kikosi chao kuelekea msimu ujao. The post DIER KUIKAMUA UNITED PAUNI MIL. 50 appeared first on Dimba....

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News