Diamond azua kizaazaa msiba wa King Majuto

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya Nasibu Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnum leo tarehe 9 Agosti, 2018 amezua kizaazaa kwenye msiba wa Amri Athumani maarufu kwa jina la King Majuto. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Diamond alifika kwenye ukumbi wa Kareem Jee wakati ambao shughuli ya kuaga mwili wa King Majuto ikiendelea na kuzuiwa kutokana ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News