DEREVA WA LISSU KUITWA POLISI! Sheria inasemaje? Wakili kaeleza kila kitu

Headline za tukio la kushambuliwa Tundu Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA zimekuwa zikiendelea tangu tukio hilo lilipotokea September 7, 2017 ambapo moja ya headline kubwa ya karibuni ni kuhusu Jeshi la Polisi kuagiza dereva wake aripoti Polisi. Sasa Ayo TV na millardayo.com zinaye Wakili wa kujitegemea ambaye ni […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News