Derby ya Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars yawa gumzo Kenya. Hapatoshi kesho

Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichoanza dhidi ya RwandaNa Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.Ndugu wa wawili wa Tanzania kesho Alhamis watakutana katika Soka kwenye Mashindano ya kuwania ubingwa wa Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA SENIOR CHALLENGECUP), kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar “Zanzibar Heroes” dhidi ya Tanzania bara “Kilimajanjaro Stars” mchezo utakaopigwa majira ya saa 8:00 za mchana katika Uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya.Huu ni mchezo wa pili kwa kila timu kufuatia Heroes jana kushinda mabao 3-1 dhidi ya Rwanda wakati Kilimanjaro Stars walitoka sare ya 0-0 dhidi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News