DC aagiza mbunge mwingine wa Chadema akamatwe

MBUNGE wa Chadema, katika jimbo la Tunduma, mkoani Mbeya, Frank Mwakajoka, amewekwa ndani muda huu kwa amri ya mkuu wa wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwakajoka ameswekwa rumande baada ya kuwapiga picha na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii, madiwani watatu wa chama hicho waliojiengua na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wanadaiwa kupigwa picha ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 21 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News